Habari za Mastaa

D’Banj anaisogeza mpya yenye midundo ya kipekee, ‘Emergency’ – (Audio)!

on

Staa na mmoja ya wakongwe wa muziki kutoka Nigeria, D’Banj anafungua mwaka kwa kuziandika headlines kwenye kurasa za burudani na ujio wa single yake mpya ‘Emergency’ ikiwa  ni single ya kwanza ya staa huyo kwa mwaka huu wa 2016.

Kama haijakufikia feel free kuzisikiliza dakika 3 za miondoko ya Afro Beats kutoka kwa D’Banj.

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utakayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE.

Soma na hizi

Tupia Comments