Habari za Mastaa

Kama unapenda kazi za D Banj, hii ni video mpya kutoka kwake.

on

dJina lake kamili ni Dapo Daniel Oyebanjo mshindi wa tuzo za MTV,BET na nyingine nyingi.

D Banj ameshawai kuja Tanzania miaka iliyopita na hivi sasa ametoa audio na video mpya kwa pamoja.

Kama unamkubali D Banj na kazi zake basi hii ni mpya na inaitwa “Bother You”

[youtube youtubeurl=”RKCk6PtNPdw” ][/youtube]

 

Tupia Comments