Top Stories

DC atangaza Watoto wanaoingia vibanda umiza wakamatwe

on

Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni, Sarah Msafiri, ameagiza watoto wote wanaokaa kwenye vibanda vya sinema nyakati za usiku na wakati wa masomo, kukamatwa na kuchukuliwa hatua kali.

Msafiri ametoa kauli hiyo leo Desemba 3, 2019, Jijini Dar es salaam, pamoja na kuwataka wananchi kuwa mstari wa mbele, katika kutoa taarifa zinazohusu matukio ya ukatili wa kijinsia.

DC Msafiri amesema kuwa jamii haina budi kutatua changamoto za migogoro ya kifamilia ili kupunguza idadi ya matukio ya ukatili pamoja na utupaji wa watoto.

ILIVYOKUWA KESI YA VIONGOZI WAKUU WA CHADEMA

 

Soma na hizi

Tupia Comments