Top Stories

DC Jokate aibuka hospital ya Temeke, ambananisha Mkurugenzi

on

Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Jokate mwegelo Julai amefanya ziara katika Hospitali ya Rufaa ya mkoa wa Temeke ili kufuatilia tatizo la umeme ambalo linatajwa kama changamoto katika hospitali hiyo.

‘Safari yetu kufika hapa imekuja kwasababu si njema sana kwa taarifa tuliyoipata usiku wa kuamkia Jumapili watoto watano wachanga walifariki kutokana na umeme kukatika’-DC Jokate Mwegelo

‘Sasa tunataka kujua Uzembe umefanyika wapi ndio maana tumefika hapa kupata taarifa kamili katika hospitali hii ya Temeke‘- DC Jokate Mwegelo

 

MCHINA ANAYEWATESA WAFANYAKAZI AKAMATWA MBELE YA KATAMBI “ANAVUTA SIGARA”

Tupia Comments