Mix

DC Jokate atoa msaada shule ya msingi Kizinga

on

Mkuu wa wilaya ya Temeke Jokate Mwegelo wametoa msaada wa rangi katika shule ya msingigi Kizinga iliyopo wilayani humo kwa lengo la kuboresha muonekano majengo ya shule hiyo.

Wanafunzi  wa shule ya msingi  Kizinga  iliyopo Mbagala Kizuiani Wilayani Temeke, mkoani Dar es Salaam, Ramadhani Juma na Fatuma Athuman  kwa niaba ya wanafunzi wenzao wamepokea  makopo ya rangi aina ya Coral Paints kutoka kwa Mkuu wa Wilaya ya  hiyo  Jokate Mwegelo.

Msaada huo wa rangi wenye thamani ya Tsh milioni 15 umetolewa na DC Jokate kama sehemu ya kuboresha miundombinu ya shule za Temeke kwa kushirikiana na kampuni ya Coral Paints  zenye thamani ya sh milioni 15 kupitia Mkuu wa masoko wa kampuni hiyo Adam Kefa.

Soma na hizi

Tupia Comments