Top Stories

DC Katambi aagiza Masanja Mkandamizaji akamatwe

on

Mkuu wa Wilaya ya Dodoma Patrobas Katambi aagiza Mchekeshaji Masanja Mkandamizaji kujisalimisha Ofisi ya Mkuu wa Wilaya au kwa OCD kwa mahojiano na Kamati ya Usalama pamoja na team ya Afya na Kinga dhidi ya Korona Wilaya ya Dodoma. Baada ya kuwahoji watu juu ya Ugonjwa wa Corona,

Aidha ametoa amri ya kukamatwa iwapo atakaidi ndani ya Saa 72 kuanzia mchana huu.

KWA MARA YA KWANZA BARABARA ZA NJIA NNE ZAANZA KUJEGWA KIGOMA “TUMEZOEA KUZIONA KWINGINE”

 

Soma na hizi

Tupia Comments