Top Stories

DC Kijana apiga marufuku “Sitaki kusikia tena migogoro ya Wakulima” (video+)

on

Mkuu wa Wilaya ya Uvinza Mkoani Kigoma Hanafi Msabaha amewataka Wakulima na Wafugaji wilayani humo kutumia Serikali za vijiji na kata katika maeneo yao kumaliza migogoro baina yao kuelekea msimu wa kilimo unaokuja ili kuisaidia Serikali katika kukabiliana na kesi hizo.

Ayo TV & Millardayo.com imefika katika eneo hilo, unaweza ukabonyeza play kufahamu zaidi.

SPIKA WA BUNGE, JOB NDUGAI “WANAOZAA WATOTO NJITI KUNA HAJA SHERIA IREKEBISHWE WAONGEZEWE LIKIZO”

Tupia Comments