Top Stories

DC Kinondoni “Biashara fanyeni, hatuwazuii, Mjikinge na Corona”

on

Mkuu wa wilaya ya kinondoni Daniel Chongolo ameongea na wafanyabiashara ambao niwamiliki wa Bar katika wilaya ya kinondoni kuwa hakuna wa kufunga bar bali wafanye lakini biashara na wajikinge na corona kwa kuwaweka wateja wao kwa umbali katika kila meza lakini pia kuhakikisha wateja wote wananawa mikono kwa sabuni na maji yanayotililika na sanitizer bila kusahau kuvaa maski.

Amezungumza hayo baada ya kuenea taarifa za kuwa bar katika wilaya hiyo zinafungwa kuzuia mikusanyiko. PLAY hapa chini kumtazama akizungumza.

 

Soma na hizi

Tupia Comments