Top Stories

DC Mwaipaya aanza kuonesha makali aingilia kati Mgogoro

on

Mkuu wa Wilaya ya Mwanga Abdallah Mwaipaya ameingilia kati mgogoro wa shule ya Aman Vumwe nakuutatua ili kuwawezesha Wanafunzi kuendelea kusoma wakati wakisubiri kesi ya msingi iliyopo Mahakamani imalizike.

Tazama hapa ufahamu alichozungumza DC Mwaipaya kuhusu mgogoro huo.

 

 

Soma na hizi

Tupia Comments