Ad

Top Stories

DC Sabaya aibuka na ishu ya corona mbele ya Silinde “tumieni mizizi” (+video)

on

Mkuu wa Wilaya ya Hai Lengai Ole Sabaya amewataka wananchi kuondoa uoga na hofu na kujielekeza katika ujenzi wa uchumi kwani hofu inahatarisha maisha yao kuliko tishio la ugonjwa wenyewe.

Lenagi Ole Sabaya amesema ni muhimu kuwa na tahadhari lakini zisipitilize na kuwa uoga, huku akiwaeleza wananchi kwamba MUNGU aliyeliponya Taifa mwaka Jana bado ni MUNGU.

Amesisitiza wanasayansi kuwekeza katika tiba zinazoendana na mazingira na hali zetu.

Soma na hizi

Tupia Comments