Top Stories

DC Sabaya aongoza maombi Hai kuliombea Taifa na Janga la Corona

on

Mkuu wa wilaya Hai mkoa wa Kilimanjaro Lengai Ole Sabaya leo amekuwa sehemu ya Watanzania waliohudhuria katika kanisa la Sabato Boma Ng’ombe kuliombea Taifa kwa ajili ya janga la virusi vya corona linalochukua uhai wa watu wengi duniani.

“Corona ni halisi kitendo cha Rais Magufuli kutangaza kutofunga nyumba za ibada ni uthibitisho kwamba amelikabidhi taifa kwa Mungu mwenye watu wake”>>> Sabaya

“Amethibitisha kwamba hatutasapimu amri kwa ugonjwa unaoletwa na ibilisi ila watajisalimisha kwa Mungu aiponye nchi”>>> Sabaya

Soma na hizi

Tupia Comments