Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: DC Same aagiza Takukuru kuchunguza mradi wa maji wa Sh1 bilioni
Share
Notification Show More
Latest News
Bosi wa kampuni ya Sabuni aamua kula bidhaa yake kuthibitisha kuwa ni za asili
September 27, 2023
Mazungumzo ya Poland na Ukraine yanaendelea baada ya kupiga marufuku uagizaji wa nafaka
September 27, 2023
Urusi inashutumu Marekani na Uingereza kwa kusaidia kupanga mashambulizi kwenye meli za Bahari Nyeusi
September 27, 2023
Iringa :ahukumiwa kifungo cha maisha jela kwa kumbaka mtoto mwenye umri wa miaka 7
September 27, 2023
Ukraine yawashikilia wanaume 2 wanaotuhumiwa kuisaidia Urusi katika mgomo wa Kiev
September 27, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Top Stories > DC Same aagiza Takukuru kuchunguza mradi wa maji wa Sh1 bilioni
Top Stories

DC Same aagiza Takukuru kuchunguza mradi wa maji wa Sh1 bilioni

September 3, 2023
Share
2 Min Read
SHARE

Mkuu wa Wilaya ya Same mkoani Kilimanjaro, Kasilda Mgeni ameiagiza Taasisi ya Kuzuia na Kupambana Rushwa (Takukuru) wilayani humo kufanya uchunguzi kuhusu mradi wa maji wa Sh 1 bilioni uliokuwa ukitekelezwa na Wakala wa Usambazaji Maji na Usafi wa Mazingira Vijijini (Ruwasa) katika vitongoji 7 vya Kata ya Vumari.

DC Kasilda ametoa maagizo hayo wakati alipokwenda kukagua Miradi mbalimbali ya Maendeleo inayotekelezwa Wilayani humo, ikiwemo Miradi ya Maji, ujenzi wa Madarasa ya shule ya Msingi Mbono unaotekelezwa na Mradi wa boost utakaogharimu. Sh 181milion.

‘Mhe Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samiha Suluhu Hassani amejitahidi kutoa Fedha nyingi Sana kwa ajiri ya utekelezaji wa Miradi mbalimbali ikiwemo hii ya Maji ambayo ametoa Sh 1 bilioni kwa ajiri ya ukamilishwaji katika vitongoji hivi 7 lakini kwenye usimamizi wa Miradi hii kuna changamoto, na Wananchi wanashindwa kunufaika na Miradi’ amesema Mkuu wa Wilaya.

“Takukuru naomba Mfuatilie haraka iwezekanavyo kuchunguza hili tujue ni kitu gani kinachofanya wananchi hawa wa vitongoji vitano kati ya saba wasinufahike na miradi ya Maji na ni kwanini Maji hayawafikii Wananchi hao”- DC Same

Pamoja na Hayo yote Mkuu wa wilaya Kaslida Mgeni ametoa shukran za dhati kwa Mhe Rais Dkt Samiha Suluhu Hassani kuendelea kutupatia Fedha nyingi Sana kwa ajiri ya kutekeleza Miradi mbalimbali ya Maendeleo na kuhakikisha Fedha zinazo tolewa na Serikali zitatumika vyema kwa kutekeleza Miradi inayokusudiwa.

Pia manager wa Maji Wilaya ya Same Abdallah Gendaheka amesema kukosekana kwa Maji katika vitongoji vitano ni kutokana na bahadhi ya wananchi kuharibu Miundombinu ya Maji na vifaa vya Maji lakini Mradi huo mkandarasi alimaliza muda mrefu sana hivyo amewahasa wananchi kutunza vyanzo vya Maji.

Bahadhi ya Wananchi wa kata ya vumali Wilayani humo Asha Abdallah na Herman Mgonja wamesema changamoto kubwa wanayopata ni Maji hasa kwenye hiki kipindi cha kiangazi ambacho wanaradhimika kunywa Maji yasiyo Safi na Salama.

.

.
.

You Might Also Like

Bosi wa kampuni ya Sabuni aamua kula bidhaa yake kuthibitisha kuwa ni za asili

Mazungumzo ya Poland na Ukraine yanaendelea baada ya kupiga marufuku uagizaji wa nafaka

Urusi inashutumu Marekani na Uingereza kwa kusaidia kupanga mashambulizi kwenye meli za Bahari Nyeusi

Iringa :ahukumiwa kifungo cha maisha jela kwa kumbaka mtoto mwenye umri wa miaka 7

Ukraine yawashikilia wanaume 2 wanaotuhumiwa kuisaidia Urusi katika mgomo wa Kiev

Edwin TZA September 3, 2023
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Picha: Kutokea Ikulu DSM, Zuhura na viongozi mbalimbali wanena kuhusu Mkutano Mkuu wa Mifumo ya Chakula Afrika
Next Article Waziri Bashe asema, ‘Vanilla haiuzwi Milioni 1.5, Ni Uongo’
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Bosi wa kampuni ya Sabuni aamua kula bidhaa yake kuthibitisha kuwa ni za asili
Top Stories September 27, 2023
Mazungumzo ya Poland na Ukraine yanaendelea baada ya kupiga marufuku uagizaji wa nafaka
Top Stories September 27, 2023
Urusi inashutumu Marekani na Uingereza kwa kusaidia kupanga mashambulizi kwenye meli za Bahari Nyeusi
Top Stories September 27, 2023
Iringa :ahukumiwa kifungo cha maisha jela kwa kumbaka mtoto mwenye umri wa miaka 7
Top Stories September 27, 2023

You Might also Like

Top Stories

Bosi wa kampuni ya Sabuni aamua kula bidhaa yake kuthibitisha kuwa ni za asili

September 27, 2023
Top Stories

Mazungumzo ya Poland na Ukraine yanaendelea baada ya kupiga marufuku uagizaji wa nafaka

September 27, 2023
Top Stories

Urusi inashutumu Marekani na Uingereza kwa kusaidia kupanga mashambulizi kwenye meli za Bahari Nyeusi

September 27, 2023
Top Stories

Ukraine yawashikilia wanaume 2 wanaotuhumiwa kuisaidia Urusi katika mgomo wa Kiev

September 27, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?