Top Stories

Hali ilivyokuwa nje ya Ukumbi MPYA wa CCM Dodoma..

on

DSC_3099Jumapili July 12 2015 Historia nyingine imeandikwa kwenye Siasa Tanzania, kutoka Makao Makuu ya Chama cha Mapinduzi Dodoma Tanzania tumewafahamu wale ambao wameteuliwa

Jana na leo imekuwa siku ambayo tumezipokea story nyingi sana toka Dodoma, ninayo mengine leo mtu wangu… Ukumbi mpya wa Dodoma Convertion Centre umewakutanisha Wajumbe wa CCM na yametolewa majibu ya kura kwamba Dk. John Pombe Magufuli ndio Mgombea Urais wa CCM na Samia Hassan Suluhu amekuwa Mgombea Mwenza.

Kama umeona LIVE ya kwenye TV kilichokuwa kinaendelea ndani ya Ukumbi huo, nimefanikiwa kuzunguka na nje ya Ukumbi huo kuona kila kilichokuwa kinaendelea, ninazo pichaz hapa mtu wangu.

DSC_3095

DSC_3102

Barabara ya kuelekea Ukumbini ilikuwa busy siku nzima.

DSC_3107

DSC_3111

DSC_3116

Watu wa Usalama hawako mbali na Ukumbi.

DSC_3117

DSC_3118

Moja ya Mabasi yaliyobeba Wajumbe toka Mikoani.

DSC_3120

DSC_3121

DSC_3123

.

Dodoma Convention Centre mwonekano wa mbele.

.

Kikosi cha Zimamoto kiko tayari kwa dharura yoyote.

DSC_3155

Nyuma ya Ukumbi wa Dodoma Convention Centre.

DSC_3162

Watu wa Usalama walikuwa na Farasi pia.

DSC_3173

Wajumbe wengine walikuwa nje ya Ukumbi wakiendelea kuimba na kucheza muda wote ambao Kikao kilikuwa kikiendelea ndani.

DSC_3177

DSC_3182

Wapo waliokuwa na bidhaa zao wakiendelea kuuza nje ya Ukumbi.

DSC_3195

Moja ya packing ya magari nje ya Ukumbi.

DSC_3187

Tupia Comments