Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: VIDEO: Taifa Stars yawasili Khartoum, kauli ya Erasto kabla ya kupindua meza Oct 18
Share
Notification Show More
Latest News
Ndugu abiria kulipwa Milioni 150, Wakili aibua mapya ‘Watu binafsi waliopost meme wajiandae’
August 11, 2022
Ajali Mbaya!! Watu sita wafariki, Polisi wafunguka, chanzo ‘Dereva alikuwa Mwendokasi, lilipinduka’
August 11, 2022
Hafla ya makabidhiano ya data za utafutaji wa Mafuta na Gesi asilia kwa vitalu Zanzibar
August 11, 2022
Ukumbini: Bwana Harusi aonesha video ya mkewe akiwa faragha na shemeji yake chumbani
August 11, 2022
“Marufuku kuingia na silaha Taifa” Kamanda Muliro
August 11, 2022
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > AyoTV > VIDEO: Taifa Stars yawasili Khartoum, kauli ya Erasto kabla ya kupindua meza Oct 18
AyoTVSports

VIDEO: Taifa Stars yawasili Khartoum, kauli ya Erasto kabla ya kupindua meza Oct 18

October 16, 2019
Share
1 Min Read
SHARE

Timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars tayari imewasili Khartoum Sudan kwa ajili ya mchezo wake wa marudiano wa kuwania kufuzu kucheza fainali za CHAN 2020 dhidi ya Sudan, Taifa Stars itacheza mchezo huo October 18 2019 ikiwa inahitaji kupindua matokeo.

Baada ya mchezo wao wa kwanza jijini Dar es Salaam kupoteza 1-0, hivyo Tanzania kama inahitaji kusonga mbele itahitaji ushindi wa walau magoli mawili kwenda juu, kuelekea mchezo huo nahodha namba tatu Erasto Nyoni amethibitisha kuwa wamewasili salama na hakuna mchezaji yoyote ambaye ana majeruhi yeye pamoja na wachezaji wenzake wanaomba sapoti ya dua kutoka kwa watanzania.

VIDEO: Bondia wa kambi ya Manny Pacquiao kumfuata Mwakinyo TZ Nov 29

You Might Also Like

Kauli ya Simba SC baada ya Tundaman kuingia na Jeneza ‘Simba day’ uwanja wa Mkapa

Picha 19: Uzinduzi wa Jezi mpya za Simba SC, Mashabiki wafurika Dukani DSM

Simba wafunga usajili kwa kishindo, washusha mshambuliaji kutoka Ulaya

Manara amuingiza Hersi kwenye 18 za TFF

Haji Manara amtambulisha Aziz Ki kama Mfalme, ambusu magoti, amfunga viatu

TAGGED: Ayo TV, AyoTV, Soka bongo
Rama Mwelondo TZA October 16, 2019
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Binti kajitokeza na kudai Maradona ni baba yake mzazi
Next Article Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania October 16, Hardnews, Udaku na Michezo
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Ndugu abiria kulipwa Milioni 150, Wakili aibua mapya ‘Watu binafsi waliopost meme wajiandae’
Top Stories August 11, 2022
Ajali Mbaya!! Watu sita wafariki, Polisi wafunguka, chanzo ‘Dereva alikuwa Mwendokasi, lilipinduka’
Top Stories August 11, 2022
Hafla ya makabidhiano ya data za utafutaji wa Mafuta na Gesi asilia kwa vitalu Zanzibar
Top Stories August 11, 2022
Ukumbini: Bwana Harusi aonesha video ya mkewe akiwa faragha na shemeji yake chumbani
Top Stories August 11, 2022

You Might also Like

Top Stories

Ndugu abiria kulipwa Milioni 150, Wakili aibua mapya ‘Watu binafsi waliopost meme wajiandae’

August 11, 2022
Top Stories

Ajali Mbaya!! Watu sita wafariki, Polisi wafunguka, chanzo ‘Dereva alikuwa Mwendokasi, lilipinduka’

August 11, 2022
Top Stories

Hafla ya makabidhiano ya data za utafutaji wa Mafuta na Gesi asilia kwa vitalu Zanzibar

August 11, 2022
Top Stories

“Marufuku kuingia na silaha Taifa” Kamanda Muliro

August 11, 2022
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?