Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo Zitto Kabwe amefika katika Kituo cha upelelezi wa makosa ya fedha Kamata, ambapo ametakiwa kufika kwenye kituo hicho November 7, 2017 kwa ajili ya mahojiano zaidi. Zitto ameeleza haya yaliyo kwenye video ya hapa chini
Ulipitwa na hii? BREAKING: Zitto Kabwe afunguka kuhusu Takwimu za pato la Taifa