Premier Bet
TMDA Ad

Top Stories

DC Mwanajeshi “Nimeona makeke yenu, shida ni kubwa” (+video)

on

Ni katika hitimisho la zoezi KIKAKA Mkoani Kigoma zoezi ambalo lililenga kuwajengea uwezo Askari na Maafisa wa Kijeshi katika uwanja wa vita juu ya  matumizi ya silaha na maeneo yao katika wilaya za  Kasulu Kibondo na Kakonko.

Mkuu wa Wilaya ya Kakonko Kanali Hosea Ndagala akaeleza kuwa unahitajika ulinzi wa ziada katika maeneo ya mipakanai.

WANAJESHI WATIMUA VUMBI KIGOMA, TAZAMA MWANZO MWISHO

Soma na hizi

Tupia Comments