Top Stories

Watu waangua vicheko Ikulu, Manara akimwambia JPM “ipo siku utawaita Simba Ikulu” (+video)

on

Msemaji wa klabu ya soka ya Simba Haji Manara amemwambia Rais Magufuli kuwa ipo siku ataikaribisha Klabu ya Simba Ikulu kama ikitokea ikachukua Ubingwa wa Afrika japo amekiri kuwa sio kazi rahisi kwao kushinda ila wana mikakati.

BREAKING: Taifa Stars na Mwakinyo wapo ndani ya Ikulu ya Rais Magufuli

 

Soma na hizi

Tupia Comments