Mix

PICHA 10: Dodoma kuanzia juu hadi chini baada ya mvua kunyesha Feb 27

on

Dodoma ndio yalipo makao makuu ya Tanzania ambapo headlines nyingi hivi sasa ni pamoja na hatua ya Serikali ya awamu ya tano chini ya Rais John Pombe Magufuli kuendelea kuhamishia makazi yake baada ya agizo lililotolewa na Rais Magufuli mwenyewe mwaka jana 2016.

Leo February 27 2017 mvua ilinyesha Dodoma kuanzia majira ya asubuhi na camera ya AyoTV na millardayo.com ilizunguka baadhi ya maeneo na kuzinasa picha 10 kukuonyesha namna hali ilivyokuwa.

.

.

BREAKING NEWS zote na stori za mastaa utazipata kwa Reporter wako MillardAyo, hakikisha umejiunga na mimi kwenye Facebook, Twitter, Instagram, Snapchat, Youtube, APP kwenye ANDROID na IOS kote huko kwa jina hilohilo la @millardayo

Soma na hizi

Tupia Comments