Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Polisi Dodoma walipopigiwa simu kuhusu taarifa za kumkamata Tundu Lissu leo jioni
Share
Notification Show More
Latest News
Picha: Diamond ameingia makubaliano ya kudhamini mashindano ya Ndondo Cup
August 19, 2022
Kuelekea Sensa Agosti 23, Mbunge wa Jimbo la Ushtu anena hili kwa Wananchi wake
August 19, 2022
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo August 19, 2022
August 19, 2022
Kiwanda cha Chai Mponde Ujenzi wake umefikia 95%
August 18, 2022
Ajali ya Basi yaua watano Singida, Polisi azungumza hali ya Majeruhi
August 18, 2022
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > AyoTV > Polisi Dodoma walipopigiwa simu kuhusu taarifa za kumkamata Tundu Lissu leo jioni
AyoTV

Polisi Dodoma walipopigiwa simu kuhusu taarifa za kumkamata Tundu Lissu leo jioni

February 6, 2017
Share
1 Min Read
SHARE

Jioni ya leo February 6 2017 kulikuwa na taarifa kwamba Polisi Dodoma wamemkamata Mbunge  Singida Mashariki (CHADEMA) Tundu Lissu na kumsafirisha kwenda Dar es salaam, sasa millardayo.com na AyoTV zimempata kwenye simu Kamanda wa Polisi Lazaro Mambosasa.

‘Huyu Tundu Lissu anakabiliwa na mashtaka kule Dar es salaam kwahiyo Dodoma yamekuja tu maelekezo ya simu kwa ajili ya kukamatwa, mipango inafanyika na atapelekwa Dar es salaam kulingana na kosa alilolifanya‘

Alipoulizwa kuhusu kosa la Tundu Lissu, Kamanda Mambosasa amesema ‘Waulize Dar es salaam sisi hatujui, tulichokifanya sisi ni kumkamata kuwawezesha wenzetu badala ya wao kuja wenyewe….. watakuja kumchukua’

VIDEO: Rais Magufuli ampa ulinzi wa Polisi Mwanamke Mjane aliejitokeza akihutubia, bonyeza play hapa chini

You Might Also Like

Muuzaji mbolea ajinyakulia pikipiki ya YARA

Dkt. Mpango akasirishwa na alieweka mikono mfukoni wakati wa Wimbo wa Taifa

Mwili wa msimamizi wa uchaguzi wakutwa porini

“Marufuku kuingia na silaha Taifa” Kamanda Muliro

“Uchaguzi Kenya ni huru na uwazi”

TAGGED: TZA HABARI
Millard Ayo February 6, 2017
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Idriss ashindwa kuvumilia na kuyaandika haya, imeanzia kwa sauti ya Wema Sepetu
Next Article VIDEO: Mbunge aliyetayari kutaja Wabunge wanaouza dawa za kulevya TZ
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Picha: Diamond ameingia makubaliano ya kudhamini mashindano ya Ndondo Cup
Entertainment August 19, 2022
Kuelekea Sensa Agosti 23, Mbunge wa Jimbo la Ushtu anena hili kwa Wananchi wake
Top Stories August 19, 2022
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo August 19, 2022
Magazeti August 19, 2022
Kiwanda cha Chai Mponde Ujenzi wake umefikia 95%
Mix August 18, 2022

You Might also Like

Mix

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo August 17, 2022

August 17, 2022
Mix

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo August 13, 2022

August 13, 2022
MixTop Stories

Mwana FA alivyoungana na Viongozi mbalimbali kuhamasisha Zoezi la Sensa, Masuguru Wilayani Muheza

August 11, 2022
Mix

Bwawa la Mwalimu nyerere sasa kazi ni Usiku na Mchana, ‘kukamilika June 2024’ Waziri Makamba anena

August 9, 2022
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?