Ad

Habari za Mastaa

VideoFUPI: Wanafunzi walipogundua ni Diamond anapita pembeni yao kuingia Bungeni

on

Diamond Platnumz na kundi la muziki la Afrika Kusini Mafikizolo ambao watatumbuiza mbele ya Wanachuo wa UDOM leo Dodoma, walialikwa na Waziri Nape Nnauye kuingia bungeni Dodoma kama wanavyoalikwa Wageni wengine.

Wakati wanaingia kulikua na baadhi ya Wanafunzi wamealikwa pia na walipomshtukia Diamond walianza kupiga kelele za furaha kumuona staa huyu wa bongofleva wanaemkubali, unaweza kuwatazama kwenye hii video fupi hapa chini.

Diamond ameandika >>>Ilibidi kujikausha na kueka sura ya userious ili furaha isiwazidi tukaja haribu Hali ya hewa ikawafujo tukapelekwa Polisi bure kwa kusababisha Zogo Bungeni’


ULIIKOSA INTERVIEW YA DIAMOND AKISEMA AMEWAONA WALIOSEMA TIFFAH SIO MTOTO WAKE? BONYEZA PLAY KWENYE HII VIDEO HAPA CHINI

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments