Habari za Mastaa

VideoMPYA: Young Killer na Mr Blue kwenye video mpya ‘Kumekucha’

on

Star wa Fiesta Super Nyota 2012 kutoka Mwanza Young Killer leo katuletea hii video mpya ya ‘Kumekucha’ ambayo amemshirikisha Mr Blue, ukishaitazama usiache kuniandikia comment yako umeionaje na yeye atapita hapa kuona walichosema watu wake.

ULIIKOSA HII YA MR BLUE NA MJ RECORDS KUHUSU MR 2 KUCHUKUA WIMBO WA MR BLUE BASI ITAZAME HII VIDEO HAPA

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments