AyoTV

EXCLUSIVE: Professor Jay kuvunja ukimya, Mr T Touch kafunguka kuhusu single mpya….

on

Ni July 1, 2016 ambapo headlines zinamilikiwa na Producer Mr T Touch ambae amefunguka na kuweka wazi kuwa Mbunge wa jimbo la Mikumi, Mh. Joseph Haule aka Professor Jay anatarajia kuvunja ukimya kwa kuachia single mpya.

Ni kweli nimefanya wimbo mpya na Mheshimiwa Mbunge Professor Jay ilikuwa ni ndoto yangu ya muda mrefu wa kufanya nae kazi na wimbo upo tayari ameshakuja studio kuweka sauti na mambo mengine yamemalizika kwahiyo kilichobaki tu ni yeye kuamua lini ataiachia‘- Mr T Touch

ULIIKOSA HII YA PROFESSOR JAY AKIONGEA BUNGENI BASI ITAZAME HII VIDEO HAPA

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments