Habari za Mastaa

Mabibi na Mabwana Kassim Mganga katuletea hii single mpya Manuari

on

Kassim Mganga ni miongoni mwa wakali wenye majina yao ndani ya bongofleva, akiwa na hits kama ‘awena‘ ‘I love you‘ na nyingine.

Sasa good news ni kwamba star huyo leo June 22, 2016 kaachia rasmi single yake mpya iitwayo Manuari imetayarishwa na producer Sheddy Clever, unaweza ukabonyeza play kuisikiliza hapa

ULIIKOSA INTERVIEW YA KASSIM MGANGA KUHUSU KAZI YAKE YA MUZIKI BASI ITAZAME HII VIDEO HAPA

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments