AyoTV

Diamond na uongozi wake mguu kwa mguu kwenye ofisi za Mkuu wa Mkoa wa Dar…(+Video)

on

Ni June 6, 2016 ambapo  staa Diamond Platnumz aliungana na uongozi wake wa label ya WCB kuelekea ofisi za Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda.

Akizungumza na waandishi wa habari RC Paul Makonda alisema….’Diamond na uongozi wake wamekuja ofisini kutoa shukrani na pia kuomba niwe kama mlezi wao wa WCB nitahusika kuwashauri na kuwaelekeza yale watakayotaka niwashauri katika kazi zao-Paul Makonda

ULIIKOSA HII YA PAUL MAKONDA KWENYE MSAKO WA SUKARI DSM ITAZAME HII VIDEO HAPA

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

 

Soma na hizi

Tupia Comments