Naibu Waziri ofisi ya Waziri mkuu, Kazi, Vijana na Ajira ambaye pia ni Mbunge wa Dodoma mjini Anthony Mavunde ametoa ahadi ya kununua gari kubwa maalum kwa ajili ya kubeba maiti na kuzisafirisha mahali popote ndani ya jimbo lake bure ili kuwasaidia wale wasioweza kumudu dharama hizo za usafirishaji.
DC Jerry Muro nae kuwashughulikia Wanaume waliotelekeza Watoto