Habari za Mastaa

Tuzo za MTV Video Music Awards 2016 ziko njiani….

on

Tuzo za muziki za MTV Africa 2016 maarufu kama MTV MAMA zinatarajiwa kufanyika tarehe 22 October Johannesburg Afrika Kusini.

AQ233344

Uzinduzi wa tuzo hizo ulifanyika August 23, 2016 mbele ya waandishi wa habari mbalimbali, pia kupitia kwenye mtandao wao wa twitter walitoa taarifa hizo kwa mashabiki kwa kuwepo kwa tuzo hizo 2016.

ULIIKOSA HII YA DIAMOND PLATNUMZ ALIVYOCHUKUA TUZO ZA MTV MAMA AWARDS 2015 BASI ITAZAME HII VIDEO HAPA

Soma na hizi

Tupia Comments