AyoTV

Makomando hawakupendezwa na Diamond kutumia style ya Kibega?

on

Kama utakuwa unakumbuka miaka iliyopita kupitia mitandao mbalimbali iliwahi kuripoti kwamba kundi la muziki kutoka Bongoflevani, Makomando hawakupendezwa na Diamond Platnumz kutumia style ya Kibega bila ruhusa yao.

Sasa leo kundi hilo limeipata heshima millardayo.com & Ayo TV kuyaongea haya mapya na kusema>>>Sisi kwanza tulifurahi kwa Diamond Platnumz kucheza style yetu ya kibega inaonekana kwamba ameikubali kwa muda mrefu,

‘Sisi tunampongeza kwani alitambua na kuona umuhimu wa style ya makomando kwahiyo tunapenda kumzungumzia vizuri ili mradi Africa wajue makomando wanafanya nini’-

Unaweza ukabonyeza kuitazama interview ya Makomando kuhusu Diamond Platnumz kutumia style yao ya Kibega

ULIIKOSA YA RAYMOND WA WCB KUHUSU KUNYOA RASTA ZAKE NDANI YA SAA 16 BASI MSIKILIZE HAPA

Soma na hizi

Tupia Comments