Mix

Hizi ndio sababu za January MAKAMBA na Mwigulu NCHEMBA kutofika kwenye Mdahalo wa Urais jana JUNE 08 2015

on

MN & JM

Jana June 08 2015 kulikuwa na mdahalo wa Wagombea Urais ambao ulikuwa unafanyika katika Hoteli ya Hyatt Regency Dar kuanzia saa 1 jioni, mdahalo ulikatishwa kwa sababu Wagombea Urais wa CCM hawakufika, aliyefika ni mmoja tu, Balozi Amina Salum Ali.

Mwenyekiti wa Waandaaji wa Mdahalo huo alisema alikuwa na taarifa ya dharura ya Waziri Lazaro Nyalandu na Fredrick Sumaye, lakini wengine hawakutoa sababu iliyofanya wasifike.

Post hii aliiweka January Makamba jana jioni kwenye ukurasa wake @Twitter.

 

  Hii ni post nyingine aliyoiweka Mwigulu Nchemba kwenye ukurasa wake @Instagram.

Ratiba ya waandaaji wa Mdahalo huo inaonesha jana ilitakiwa wawepo Wagombea Urais ambao wanatoka CCM.

IMG-20150608-WA0032

 

Unahitaji chochote ninachokipata kisikupite? jiunge na mimi kwenye Twitter, Facebook na Instagram kwa kubonyeza hapa >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos ili kila video ya AyoTV ikufikie.

Tupia Comments