Habari za Mastaa

H.Baba katoa tuzo zake leo…mpaka wapenzi wasio na majungu wamepata (Picha)

on

Msanii wa muziki H.Baba akishirikiana na mke wake Flora Mvungi  leo Dec 20 Jumapili wamefunga ukame wa tuzo kwa kutoa tuzo zao baada ya kuona kila mmoja kati yao ana mchango kwenye muziki na Filamu.

Hizi ni baadhi ya picha kutoka katika tukio hilo.

.

.

.

.

.

.

.

.Mtoto wao anayejulikana kwa jina la Tanzanite akipokea tuzo yake

.

.H.Baba na mke wake Flora Mvungi wakikabidhiwa tuzo ya Best  Couple of the year iliyodumu mwaka 2015

.

.

.

.

.

.Kushoto ni Flora Mvungi akimkabidhi msanii wa Bongo Movie,  Riyama tuzo ya Best Artist Female of the year

.

.H.Baba akimkabidhi Dully Sykes tuzo ya Best Artist of the year 2015

.

.

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyezahapa>>>INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE.

Tupia Comments