Premier Bet SwahiliFlix Ad Halotel Ad

Top Stories

ULGSP: Tazama IRINGA walivyofanikiwa Kuongeza Mapato yao

on

Mradi wa ULGSP ni maalum kwa ajili ya uboreshaji wa miji 18 Tanzania, hapa nimekuwekea ujionea ni kwa jinsi gani Iringa wameweza kujiongezea Mapato yao ya Ndani kupitia Mradi huu.

Mapato yanayokusanywa yatasaidia kuboresha miundombinu ya Mji wa Iringa bila kusahau huduma za afya.

MUSOMA WAMETUONYESHA MPANGO WAO WA MIAKA 20 (MASTER PLAN)

Soma na hizi

Tupia Comments