Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Njiwa aliyetumika kusafirisha dawa za kulevya, akamatwa
Share
Notification Show More
Latest News
Picha: Makamu wa Rais wa Marekani Kamala Harris awasili nchini Ghana
March 27, 2023
Kenya:Mmoja auawa kwa kupigwa risasi kwenye vurugu za maandamano kisumu.
March 27, 2023
Katibu Tawala msaidizi Mkoa wa Morogoro awaagiza hili watumishi wa Halmashauri za Wilaya
March 27, 2023
Aliyemzushia DAS taarifa za uongo Jela kifungo Mwaka mmoja
March 27, 2023
Waziri Nape kufungua Mkutano wa Wahariri Mkoani Morogoro
March 27, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Miji/Nchi > Njiwa aliyetumika kusafirisha dawa za kulevya, akamatwa
Miji/Nchi

Njiwa aliyetumika kusafirisha dawa za kulevya, akamatwa

June 10, 2017
Share
1 Min Read
SHARE

Polisi wa Kuwait wamemkamata njiwa aliyekuwa amebeba dawa za kulevya aina yaKetamine ambaye alikuwa amenasa kwenye bati la jengo la forodha katika Bandari ya Abdel iliyopo mpakani mwa Kuwait na Iraq.

Katika taarifa iliyoripotiwa na BBC njiwa huyo alikamatwa baada ya kushindwa kuruka baada ya kuzidiwa na uzito wa dawa hizo ambapo alikuwa amebebeshwa kibegi kidogo mgongoni kilichojazwa vidonge 178 vya dawa zinazoaminika kuwa na thamani kubwa akidaiwa kutoka Iraq.

Mbinu hii ya kutumia njiwa katika kusafirisha dawa za kulevya imekuwa ikitumika sana kwenye sehemu zenye ulinzi mkali ambapo mwaka 2015 iliripotiwa kukamatwa kwa njiwa aliyebeba dawa za kulevya aina ya Cocaine na Bangi katika ukuta wa jengo la gereza Costa Rica.

Operesheni ya Dawa za Kulevya inavyoendelea na hatua iliyofikia hadi sasa…

You Might Also Like

EACOP yafanya jambo kulinda makaburi ya kimila Igunga

Wataalam wa maji watoa wito wa kukabiliana na uhaba wa maji

Kamati ya Bunge ya Miundombinu imeridhishwa na ujenzi wa BRT

Jennifer Lopez asherehekea miaka 15 ya mapacha wake, aonyesha muonekano wake mpya

TCDC na Makakati kukuza biashara kidijitali

TAGGED: habari daily
Rama Mwelondo TZA June 10, 2017
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Serikali baada ya taarifa ya Mbunifu wa Nembo ya Taifa (+video)
Next Article Nape amemwandikia JPM baada ya kupokea ripoti ya mchanga
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Picha: Makamu wa Rais wa Marekani Kamala Harris awasili nchini Ghana
Top Stories March 27, 2023
Kenya:Mmoja auawa kwa kupigwa risasi kwenye vurugu za maandamano kisumu.
Top Stories March 27, 2023
Katibu Tawala msaidizi Mkoa wa Morogoro awaagiza hili watumishi wa Halmashauri za Wilaya
Top Stories March 27, 2023
Aliyemzushia DAS taarifa za uongo Jela kifungo Mwaka mmoja
Top Stories March 27, 2023

You Might also Like

Top Stories

Picha: Makamu wa Rais wa Marekani Kamala Harris awasili nchini Ghana

March 27, 2023
Top Stories

Kenya:Mmoja auawa kwa kupigwa risasi kwenye vurugu za maandamano kisumu.

March 27, 2023
Top Stories

Katibu Tawala msaidizi Mkoa wa Morogoro awaagiza hili watumishi wa Halmashauri za Wilaya

March 27, 2023
Top Stories

Waziri Nape kufungua Mkutano wa Wahariri Mkoani Morogoro

March 27, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?