Duniani

VIDEO: Waziri alivyorushiwa kiatu kwenye mkutano na Waandishi wa habari Delhi

on

Jamaa mmoja huko Delhi India amemrushia kiatu Waziri Arvind Kejriwal akiwa kwenye mkutano na Waandishi wa habari ambapo kabla ya kukamatwa na kupelekwa Polisi, mrushaji wa kiatu hicho amesema alifanya hivyo sababu anakerwa na serikali iliyoko madarakani na malalamiko ya muda mrefu hayajafanyiwa kazi…….. tazama hii video hapa chini alivyorusha kiatu

ULIIKOSA HII TAMTHILIA? MAHUSIANO… RACHEL VS MWIJAKU… WIFE NA HUSBAND…. TAZAMA HAPA CHINI

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments