Habari za Mastaa

PICHA 14: Msami kafanyiwa suprise na Meneja wake… kapewa gari

on

Ni mwimbaji na dancer kwenye muziki wa bongofleva anaitwa Msami Giovani leo June 11, 2016 bila kujua kitachotokea baada ya kufanya mazoezi asubuhi, meneja wake aitwae Rehema amemfanyia suprise ya kumzawadia gari aina ya Toyota Ipsum yenye thamani ya Tsh. milioni 15.

Hii ni baada ya single yake iitwayo Mabawa kufanya vizuri kwenye Radio, TV na hata kumpa mauzo ya shows nyingi zaidi majukwaani Tanzania, usisahau kwamba Msami ni bingwa wa kumiliki stage pia.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

Mwigizaji Kajala ni miongoni mwa waliokuwepo kwenye suprise

.

.

.

.

.

.

.

.

.

Meneja Rehema na uthibitisho wa kadi ya gari

ULIIKOSA YA MAPENZI MOTOMOTO YA HARMONIZE NA WOLPER? BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUITAZAMA

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments