AyoTV

“Waziri unavunja sheria makusudi, Mnaingia tamaa” –Halima Mdee (+Video)

on

Mbunge wa Kawe Halima Mdee ni miongoni mwa Wabunge waliopata nafasi ya kusimama Bungeni Dodoma kuchangia mapendekezo yake katika hoja tatu zilizowasilishwa na Serikali ambazo ni Hoja za kamati ya kudumu ya Bunge ya Bajeti, hoja ya kudumu ya uwekezaji ya bunge na mitaji ya umma, Hoja ya viwanda, biashara na mazingira ambapo Mdee aliikosoa Serikali kwa kushindwa kusimamia mapato yakiwemo ya halmashauri nchini.

Warioba amzungumzia marehemu Mzee Kingunge

Soma na hizi

Tupia Comments