Videos

VideoMPYA: Rich Mavoko ametuletea video yake mpya ‘Ibaki Story’

on

Rich Mavoko ametambulishwa rasmi leo June 2 2016 kuwa chini ya lebo ya WCB inayosimamiwa na Diamond Platnumz, ikiwa ni saa kadhaa baada ya kutambulishwa Rick katuletea video mpya inaitwa ‘Ibaki Story’ ambayo imefanyika Johannesburg South Africa, ukishaitazama utuachie na comment yako mtu wa nguvu

ULIKOSA KUTAZAMA HII YA HARMONIZE NA JACKLINE WOLPER MAPENZI MOTOMOTO? TAZAMA HII VIDEO HAPA CHINI

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments