Habari za Mastaa

AudioMPYA: Young Killer ametuletea hii single yake mpya ‘Mtafutaji’

on

Star wa Fiesta Super Nyota 2012 kutoka Mwanza Young Killer baada ya kufanya vizuri kwenye hit single aliyomshirikisha Mr Blue iitwayo Kumekucha sasa time hii ametuletea hii single mpya aliyoipa jina la Mtafutaji.imetayarishwa na producer Mr T Touch.

Unaweza ukabonyeza play kuisikiliza hii single mpya ya Young Killer

ULIIKOSA HAYA ALIYOYAZUNGUMZA YOUNG KILLER KUHUSU KUJIUNGA KWENYE LEBO YA WCB BASI SIKILIZA HAPA ALIKICHOSEMA BONYEZA PLAY 

Soma na hizi

Tupia Comments