Michezo

Pichaz za Memphis Depay wa Man United akikatisha mitaa na gari lake la kifahari

on

Winga wa klabu ya Manchester United ya Uingereza Memphis Depay ambaye amesajiliwa katika kipindi hiki cha usajili akitokea klabu ya PSV Eindhoven ya Uholanzi, August 28 amenaswa na Camera za mapaparazi akikatisha mitaa ya jiji la Manchester na gari lake la kifahari la Mercedes GLA 45 AMG.

2BBCD27C00000578-0-image-a-1_1440767501556

Depay ambaye ana muda mchache toka ameanza kuishi katika jiji la Manchester ameonekana akiwa mwenye furaha wakati akifanya Shopping katika jiji hilo. Winga huyo aliyeanza vizuri katika klabu ya Man United kwa kuifungia magoli katika mchezo wa kwanza wa mtoano wa Ligi ya Mabingwa Ulaya dhidi ya Club Bruges anaonyesha kuzoea maisha ya Manchester.

2BBC699500000578-0-image-a-2_1440767507083

2BBC5F3600000578-3214259-The_Holland_international_has_had_no_problem_settling_into_life_-a-3_1440775878965

2BBC61F400000578-0-image-a-7_1440767529034

2BBC411000000578-0-image-a-8_1440767537093

PAPO KWA PAPO zipate habari zote zinazonifikia za siasa muziki, michezo, maisha, Breaking news na nyingine kwa kujiunga hapa na mimi >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos

Tupia Comments