Habari za Mastaa

Producer Mswaki atangaza kustaafu, hii ndio mipango yake mipya Bongoflevani

on

Ni July 29, 2016 ambapo headlines zinamilikiwa na Producer wa smash hit Ningefanyaje ya Ben Pol, Mswaki ambae amefunguka kueleza sababu za kuacha kutayarisha kazi za wasanii na kuingia kwenye uimbaji.

AyoTV na millardayo.com zimempata Mswaki na kayaongea haya…>>Nimesimama kwa muda kwenye upande wa kutayarisha nyimbo kwasasa nitasikia zaidi kama msanii kwenye tasnia ya Bongo Fleva  na nimetoa wimbo wangu mpya nimemshirikisha Mwasiti unaitwa KILELE,  unajua nimefanya kazi ya kutayarisha zaidi ya miaka tisa kwahiyo sasa ni muda wangu na mimi kuonesha uwezo wangu’- Mswaki

Msikilize zaidi Mswaki kwa kubonyeza play hapa chini.

ULIYAKOSA MASWALI YA BEN POL KWA ALI KIBA NA HAYA NDIO MAJIBU YA ALIBA BASI ITAZAME HII VIDEO HAPA

Soma na hizi

Tupia Comments