Habari za Mastaa

Picha za Mzee Yusuf zinazo- trend mitandaoni baada ya kutangaza kuacha muziki

on

Ni August 12, 2016 ambapo nguli wa muziki wa Taarab mzee Yusufu amechukua headlines katika vyombo mbalimbali hasa mitandaoni kuhusiana na kutangaza kuacha kazi ya muziki wa Taarab na kuaamua  kuishika zaidi dini yake ya Kiislamu hivyo hatofanya tena muziki wa Taarabu.

ASWEEE

.

Taarifa za awali zinasema kwamba Mzee Yusuf alitoa kauli hiyo August 12, 2016 baada ya kumaliza swala ya Ijumaa kwneye msikiti wa Ilala Bungoni (Masjdi Taqwa).

13561882_262179434155380_1891112826_n

.

Endelea kukaa karibu na millardayo.com & Ayo TV tunaendelea kufuatilia taarifa hizi….

ULIIKOSA HII YA SUMA LEE KUIACHA BONGO FLEVA? TAZAMA ALICHOONGEA HAPA

 

Soma na hizi

Tupia Comments