AyoTV

Steve Nyerere autamani ukuu wa wilaya? kayaongea haya..(VIDEO)

on

Ni June 28, 2016 ambapo staa kutoka kwenye soko la filamu, Steve Nyerere amefunguka kuhusu wakuu wapya wa Wilaya walioteuliwa na rais wa awamu ya tano, Dkt John Pombe Magufuli.

Akizungumza na Ayo TV alisema…‘Kwanza sikuwa na fikra za kuwa mkuu wa wilaya bali nimekuwa na wazo la nchi yangu iendelee kuwa na amani,  sasa tumeona Rais wetu kawateuwa hivyo basi kilichobaki ni wao kufanya kazi katika mikoa yao waliyopangiwa na kutekeleza kila kinachotakiwa kwa jamii‘- Steve Nyerere

ULIIKOSA HII YA RAIS MAGUFULI KUELEZEA SABABU ZA KUSIMAMISHA AJIRA MPYA BAS ITAZAME HII VIDEO HAPA

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments