Top Stories

Dereva atekwa, afariki akidaiwa amebeba mirungi, Diwani mfichua maovu aibuka nao (+video)

on

Leo May 6, 2020 Hii ni ripoti kutoka Mkoani Kilimanjaro ambapo Dereva bajaji ameuawa akidaiwa kuwa amebeba Dawa za kulevya aina ya mirungi.

Akizungumza na AyoTV na millardayo.com Diwani wa Kata ya Bomambuzi Jumaa Raibu amesema “Wapo mabodaboda Mtu akipita na begi wanamkimbiza wakidhani amebeba hela au mirungi, zipo hatua za ukamataji, huyu Kijana wamemkimbiza wamempora fedha na hatimaye kafariki”.

MJENGO WA NGUVU: ZAIDI YA BILIONI 2 ZIMETUMIKA, LINA UWEZO WA KUENDELEA JUU

Soma na hizi

Tupia Comments