Top Stories

Dereva mlevi amewaparamia wakina Mamam watatu na gari na kuwaua (+video)

on

Watu 3 wamefariki na wengine wawili kujeruhiwa baada ya gari ndogo kuacha njia na kuwaparamia eneo la Manchester Arusha, waliofariki ni akina mama ambao wanafanya biashara zao pembezoni mwa barabara hiyo “dereva alikuwa anaendesha akiwa amelewa sana”

RC MBEYA AWASAMEHE WALIOSHAMBULIA MSAFARA WA DC, “WALIOPO GEREZANI HATA WAKINYONGWA”

Soma na hizi

Tupia Comments