Habari za Mastaa

Ambwene Yessaya kuachia single mbili mpya kwa siku moja?

on

Ni headlines za mkongwe mwenye vyeo na heshima yake kwenye game ya Bongofleva, Ambwene Yessayah a.k.a AY ambae leo Agosti 5, 2016 amefunguka kuhusiana na project mbili anazotarajia kuachai hivi karibuni mwezi huu wa nane.

Staa huyo aliipata heshima millardayo.com na Ayo TV na kuyaongea haya…>>Agosti natka nyimbo mbili mbili sijawahi kufanya hivyo tangu nimeanza game kwahiyo najua watu watapenda kwasababu watu wanakuwa wanasema kwamba AY anatoa wimbo moja halafu anakaa kwa muda mrefu kwahiyo time hii watafuraha‘-AY

Kuna mtu mmoja nimemshirikisha na nyingine nimefanya mwenyewe kuna kazi ambayo nimefanya mimi na Joh Makini kwasababu mimi na yeye hatujawahi kufanya siku nyingi halafu ni mshikaji wangu wa muda mrefu halafu hatujawahi kuingia studio basi ndio maana tukaingia na kurekodi hii single mpya’- AY

Msikilize zaidi AY kwa kubonyeza play hapa chini.

ULIIKOSA HII YA AY KUHUSU DIAMONF KWENYE ZIGO REMIX BASI ITAZAME HII VIDEO HAPA

Soma na hizi

Tupia Comments