AyoTV

VIDEO: Rostam na Nay wa Mitego walivyoamsha Dodoma fiesta 2019

on

NI Kundi la Rostam linaloundwa na Roma Mkatoliki & Stamina ambalo October 19, 2019 waliungana na msanii Nay wa Mitego kutoa burudani ya nguvu katika jukwaa la fiesta mkoani Dodoma kwenye uwanja wa Jamhuri.

Itazame hii video hapa ujionee mwanzo mwisho ilivyokuwa balaa lao

Soma na hizi

Tupia Comments