AyoTV

VIDEO: ‘Tusiwaone machinga kama watu wasio na umuhimu’ -Stanslaus Mabula

on

Mbunge wa Nyamagana Stanslaus Mabula alikuwa mmoja wa Wabunge waliopata nafasi ya kuchangia bajeti ya Wizara Ofisi ya Rais, Tawala za mikoa serikali za mitaa iliwasilisha Bungeni makadirio ya mapato na matumizi ya fedha kwa mwaka wa fedha 2017/2018 iliyowasilishwa bungeni April 18, 2017.

Kati ya vitu alivyogusia ni pamoja na changamoto zinazowakabili wafanyabiashara wadogowadogo maarufu kama machinga

VIDEO: Mwongozo uliotolewa Bungeni baada ya mauaji ya Askari 8 

BREAKING NEWS zote na stori za mastaa utazipata kwa Reporter wako MillardAyo, hakikisha umejiunga na mimi kwenye Facebook, Twitter, Instagram, Snapchat, Youtube, APP kwenye ANDROID na IOS kote huko kwa jina hilohilo la @millardayo

Soma na hizi

Tupia Comments