Top Stories

Mlima wa Ajabu: Una Handaki, Wajerumani walijificha Vita ya Kwanza ya Dunia (+video)

on

Leo tunayo stori kutokea Lushoto mkoani Tanga kuhusu mlima wa Kiguu Hakwewa wenye handaki lililochimbwa na Wajerumani ikiaminika walilitumia wakati wa Vita ya Kwanza ya Dunia mwaka 1914 hadi 1918 kwa ajili ya kujificha.

Ayo Tv na Millardayo.com imefika hadi kwenye mlima huo ambapo moja kati ya sifa zake ni kukufanya mtu uliyefika eneo hilo kuiona mandhari yote ya Mji wa Lushoto pamoja na safu za milima mbalimbali ilivyopangiliwa na Mwenyezi Mungu.

KIFO CHA DR.REGINALD MENGI WASANII WASIMAMA, WAVUA KOFIA, WAOMBA DUA

Soma na hizi

Tupia Comments