Top Stories

Machozi na Jasho: Amenusurika kubakwa,amepewa ujauzito shuleni “Namiliki Kiwanda”

on

Katika maisha kila mtu anapitia changamoto zake za kutafuta mafanikio, Ayo Tv na Millardayo.com imekutana na Mpalley Mwaipola ambaye alinusurika kubakwa wakati akiwa anafanya kazi, huku akiwa amepata ujauzito akiwa shuleni.

Mwaipola ambaye ni mama wa watoto wawili akiwa ametokea familia ya Kichungaji anasema kuwa licha ya changamoto alizopitia hakukata tamaa ambapo kwa sasa anamiliki biashara kubwa na kiwanda kidogo cha usindikaji wa bidhaa za Vyakula.

KAULI YA CAG MSTAAFU “WAINGIE KATIKA SIASA, WATUMIKE ZOEZI LA VIWANDA”

Soma na hizi

Tupia Comments