Habari za Mastaa

EXCLUSIVE: Kwa mara ya kwanza Kusaga kazungumzia hali ya Ruge (+Video)

on

Mkurugenzi mkuu wa Clouds Media Group, Joseph Kusaga amezungumza na AYO TV na millardayo.com kwa mara ya kwanza kuhusu hali ya kiafya ya mkurugenzi wa vipindi na uzalishaji wa Clouds Media Ruge Mutahaba baada ya kuepo kwa taarifa kuwa ni mgonjwa.

Tazama alichozungumza Joseph Kusaga kwa kubonyeza PLAY hapa chini.

VIDEO: Dogo Janja kafunguka kumsadia mahitaji ya shule ya mwaka mzima mwanafunzi Arusha

Soma na hizi

Tupia Comments