Mix

VIDEO: “Wapo waliomwita Kafulila Tumbili, Mimi nakwambia hongera” – Rais Magufuli

on

Rais Magufuli akiendelea na ziara yake mkoani Kigoma, leo amekutana na Mbunge wa zamani David Kafulila na kumpongeza kuhusu kuibua sakata la IPTL na ESCROW. JPM amesema >>> Kafulila wewe hongera, alisimamia wizi uliokuwa unafanywa IPTL wizi wa ajabu wakamtisha wengine kumpeleka Mahakamani<<<

>>>Wakamtukana wengine wakamwita Tumbili sasa Tumbili amefanya kazi kubwa kwaajlili ya Watanzania tunahitaji wazalendo katika nchi hii. Nchi ilikosa uzalendo<<<

Kufahamu zaidi alichokisema JPM bonyeza playa hapa chini kutazama.

VIDEO: Ulipitwa na kitu Zitto Kabwe ameongea mbele ya Rais Magufuli Kigoma? Bonyeza play kutazama hapa chini

Soma na hizi

Tupia Comments