Habari za Mastaa

AudioMPYA: Dogo janja anawaalika kuusikiliza mdundo wake mpya…’Kidebe’

on

Hii ni mpya kutoka kwa Staa wa bongo fleva kutokea kundi Tiptop connection pia mmiliki wa mdundo wa ‘My Life’ Dogo janja, leo anayofuraha kukualika kuusikiliza huu mdundo wake mpya ‘Kidebe’

Isikilize hapa

ULIIKOSA HII YA DOGO JANJA KUZAWADIWA GARI AINA YA BENZ BASI ITAZAME HII VIDEO HAPA

Soma na hizi

Tupia Comments